Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 15 - الفُرقَان - Page - Juz 18
﴿قُلۡ أَذَٰلِكَ خَيۡرٌ أَمۡ جَنَّةُ ٱلۡخُلۡدِ ٱلَّتِي وُعِدَ ٱلۡمُتَّقُونَۚ كَانَتۡ لَهُمۡ جَزَآءٗ وَمَصِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 15]
﴿قل أذلك خير أم جنة الخلد التي وعد المتقون كانت لهم جزاء﴾ [الفُرقَان: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema uwaambie, ewe Mtume, «Je, Moto huu mliosifiwa ni bora au ni Pepo ya neema za milele walioahidiwa wenye kuiogopa adhabu ya Mwenyezi Mungu, ambayo itakuwa yao ikiwa ni malipo ya matendo yao na ni mahali watakapoishia huko Akhera |