×

Watayapata humo wayatakayo daima dawamu. Hii ni ahadi juu ya Mola wako 25:16 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:16) ayat 16 in Swahili

25:16 Surah Al-Furqan ayat 16 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 16 - الفُرقَان - Page - Juz 18

﴿لَّهُمۡ فِيهَا مَا يَشَآءُونَ خَٰلِدِينَۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ وَعۡدٗا مَّسۡـُٔولٗا ﴾
[الفُرقَان: 16]

Watayapata humo wayatakayo daima dawamu. Hii ni ahadi juu ya Mola wako Mlezi, inayo ombwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لهم فيها ما يشاءون خالدين كان على ربك وعدا مسئولا, باللغة السواحيلية

﴿لهم فيها ما يشاءون خالدين كان على ربك وعدا مسئولا﴾ [الفُرقَان: 16]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hawa wenye utiifu watavipata wanavyovitamani vya ladha za neema, starehe yao humo ni ya daima, na kuingia kwao humo ilikuwa ni ahadi ya Mola wako, ewe Mtume, yenye kuombwa, kwa kuwa waja wema wa Mwenyezi Mungu wanamuomba (hiyo Pepo). Na Mwenyezi Mungu Haendi kinyume na ahadi Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek