×

Kwa hakika alikuwa karibu kutupoteza tuiache miungu yetu, ingeli kuwa hatukushikamana nayo 25:42 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:42) ayat 42 in Swahili

25:42 Surah Al-Furqan ayat 42 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 42 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿إِن كَادَ لَيُضِلُّنَا عَنۡ ءَالِهَتِنَا لَوۡلَآ أَن صَبَرۡنَا عَلَيۡهَاۚ وَسَوۡفَ يَعۡلَمُونَ حِينَ يَرَوۡنَ ٱلۡعَذَابَ مَنۡ أَضَلُّ سَبِيلًا ﴾
[الفُرقَان: 42]

Kwa hakika alikuwa karibu kutupoteza tuiache miungu yetu, ingeli kuwa hatukushikamana nayo kwa kuvumilia. Bado watakuja jua, watakapo iona adhabu, ni nani aliye potea njia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن كاد ليضلنا عن آلهتنا لولا أن صبرنا عليها وسوف يعلمون حين, باللغة السواحيلية

﴿إن كاد ليضلنا عن آلهتنا لولا أن صبرنا عليها وسوف يعلمون حين﴾ [الفُرقَان: 42]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yeye amekaribia kutuepusha na kuwaabudu masanamu wetu kwa hoja zake za nguvu na ufasaha wake, lau hatungalisimama imara juu ya kuwaabudu.» Na watajuwa, watakapoiona adhabu wanayoistahili, ni nani aliyepotoka zaidi kidini: ni wao au ni Muhammad
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek