Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 43 - الفُرقَان - Page - Juz 19
﴿أَرَءَيۡتَ مَنِ ٱتَّخَذَ إِلَٰهَهُۥ هَوَىٰهُ أَفَأَنتَ تَكُونُ عَلَيۡهِ وَكِيلًا ﴾
[الفُرقَان: 43]
﴿أرأيت من اتخذ إلهه هواه أفأنت تكون عليه وكيلا﴾ [الفُرقَان: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwangalie, ewe Mtume, kwa kumuonea ajabu yule aliyeyatii matamanio yake kama kumtii Mwenyezi Mungu. Je, wewe utakuwa ni mwenye kumtunza mpaka umrudishe kwenye Imani |