×

Au wewe unadhani kwamba wengi wao wanasikia au wanaelewa? Hao hawakuwa ila 25:44 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:44) ayat 44 in Swahili

25:44 Surah Al-Furqan ayat 44 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 44 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿أَمۡ تَحۡسَبُ أَنَّ أَكۡثَرَهُمۡ يَسۡمَعُونَ أَوۡ يَعۡقِلُونَۚ إِنۡ هُمۡ إِلَّا كَٱلۡأَنۡعَٰمِ بَلۡ هُمۡ أَضَلُّ سَبِيلًا ﴾
[الفُرقَان: 44]

Au wewe unadhani kwamba wengi wao wanasikia au wanaelewa? Hao hawakuwa ila ni kama nyama hoa tu, bali wao wamepotea zaidi njia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أم تحسب أن أكثرهم يسمعون أو يعقلون إن هم إلا كالأنعام بل, باللغة السواحيلية

﴿أم تحسب أن أكثرهم يسمعون أو يعقلون إن هم إلا كالأنعام بل﴾ [الفُرقَان: 44]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Au unadhani kwamba wengi wao wanazisikia aya za Mwenyezi Mungu, kusikia kwa kuzingatia, au wanayaelewa yaliyomo ndani yake? Hawakuwa isipokuwa ni kama wanyama, katika kutonufaika kwa wanayoyasikia, bali wao wamepotea njia zaidi kuliko hao wanyama
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek