Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 45 - الفُرقَان - Page - Juz 19
﴿أَلَمۡ تَرَ إِلَىٰ رَبِّكَ كَيۡفَ مَدَّ ٱلظِّلَّ وَلَوۡ شَآءَ لَجَعَلَهُۥ سَاكِنٗا ثُمَّ جَعَلۡنَا ٱلشَّمۡسَ عَلَيۡهِ دَلِيلٗا ﴾
[الفُرقَان: 45]
﴿ألم تر إلى ربك كيف مد الظل ولو شاء لجعله ساكنا ثم﴾ [الفُرقَان: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani huoni vipi Mwenyezi Mungu Alivyokinyosha kivuli kuanzia kutokea alfajiri mpaka kutokea jua? Na lau Mwenyezi Mungu Alitaka Angalikifanya kisimame na kitulie, kisiondolewe na jua kisha tungalilifanya jua kuwa ni alama ambayo kwa hali zake inachukuliwa dalili ya hali za kivuli |