Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 46 - الفُرقَان - Page - Juz 19
﴿ثُمَّ قَبَضۡنَٰهُ إِلَيۡنَا قَبۡضٗا يَسِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 46]
﴿ثم قبضناه إلينا قبضا يسيرا﴾ [الفُرقَان: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha kivuli kinapotea kidogo- kidogo, kila kunapoongezeka kupaa juu kwa jua ndipo kunapoongezeka kupungua kwake. Hilo ni miongoni mwa dalili za uweza wa Mwenyezi Mungu, ukubwa Wake na kwamba Yeye Peke Yake Ndiye Anayestahiki kuabudiwa, si mwengine |