Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 146 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿أَتُتۡرَكُونَ فِي مَا هَٰهُنَآ ءَامِنِينَ ﴾ 
[الشعراء: 146]
﴿أتتركون في ما هاهنا آمنين﴾ [الشعراء: 146]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr «Je, Awaache Mola wenu katika starehe mlizonazo, hali ya kuwa mumetulia katika dunia hii mkiwa mumesalimika na adhabu na kuondoka na kufa |