Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 156 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَلَا تَمَسُّوهَا بِسُوٓءٖ فَيَأۡخُذَكُمۡ عَذَابُ يَوۡمٍ عَظِيمٖ ﴾
[الشعراء: 156]
﴿ولا تمسوها بسوء فيأخذكم عذاب يوم عظيم﴾ [الشعراء: 156]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na msimguse kwa kitu chochote cha kumdhuru, kama kipigo au mauaji au mfano wake, kwani mkifanya hivyo, Mwenyezi Mungu Atawaangamiza nyinyi kwa adhabu ya Siku ambayo shida yake ni kubwa kwa sababu ya papatiko litakalotukia Siku hiyo na shida |