Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 18 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ أَلَمۡ نُرَبِّكَ فِينَا وَلِيدٗا وَلَبِثۡتَ فِينَا مِنۡ عُمُرِكَ سِنِينَ ﴾
[الشعراء: 18]
﴿قال ألم نربك فينا وليدا ولبثت فينا من عمرك سنين﴾ [الشعراء: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir’awn akasema kumwambia Mūsā kwa kumsimanga, «Je, hatukukulea kwenye majumba yetu ukiwa mchanga, ukakaa kwenye utunzi wetu miaka (mingi) katika umri wako |