Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 19 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَفَعَلۡتَ فَعۡلَتَكَ ٱلَّتِي فَعَلۡتَ وَأَنتَ مِنَ ٱلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[الشعراء: 19]
﴿وفعلت فعلتك التي فعلت وأنت من الكافرين﴾ [الشعراء: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr ukafanya tendo la jinai kwa kumuua mwanamume miongoni mwa watu wangu, ulipompiga na ukamsukuma, na wewe ni miongoni mwa wakanushaji neema zangu na kukataa uola wangu |