Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 208 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَمَآ أَهۡلَكۡنَا مِن قَرۡيَةٍ إِلَّا لَهَا مُنذِرُونَ ﴾ 
[الشعراء: 208]
﴿وما أهلكنا من قرية إلا لها منذرون﴾ [الشعراء: 208]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hatukuuangamiza mji wowote, miongoni mwa miji katika mataifa yote, isipokuwa baada ya kuwatumiliza Mitume kwao wawaonye |