Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 29 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿قَالَتۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡمَلَؤُاْ إِنِّيٓ أُلۡقِيَ إِلَيَّ كِتَٰبٞ كَرِيمٌ ﴾
[النَّمل: 29]
﴿قالت ياأيها الملأ إني ألقي إلي كتاب كريم﴾ [النَّمل: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hud-hud alienda akamrushia malkia ile barua. Papo hapo akaisoma na akawakasunya watukufu wa watu wake, na akamsikia akisema, «Mimi nimefikiwa na barua tukufu yenye cheo kutoka kwa mtu mkubwa wa cheo.» |