Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 85 - النَّمل - Page - Juz 20
﴿وَوَقَعَ ٱلۡقَوۡلُ عَلَيۡهِم بِمَا ظَلَمُواْ فَهُمۡ لَا يَنطِقُونَ ﴾
[النَّمل: 85]
﴿ووقع القول عليهم بما ظلموا فهم لا ينطقون﴾ [النَّمل: 85]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo lithibiti juu yao neno la adhabu kwa sababu ya udhalimu wao na ukanushaji wao, na watakuwa hawatamki neno lenye hoja ya wao kujitetea nafsi zao ili kujiepushia adhabu kali iliyowashukia |