Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 11 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿وَقَالَتۡ لِأُخۡتِهِۦ قُصِّيهِۖ فَبَصُرَتۡ بِهِۦ عَن جُنُبٖ وَهُمۡ لَا يَشۡعُرُونَ ﴾
[القَصَص: 11]
﴿وقالت لأخته قصيه فبصرت به عن جنب وهم لا يشعرون﴾ [القَصَص: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na akasema mamake Mūsā kumwambia nduguye wa kike alipomtupa mtoni, «Fuata athari za Mūsā uone atafanywa nini? Akafuata athari zake na akamuona kwa mbali na hali watu Fir'awn hawajui kwamba yeye ni dadake na kwamba yeye afuatilia habari zake |