Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 12 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿۞ وَحَرَّمۡنَا عَلَيۡهِ ٱلۡمَرَاضِعَ مِن قَبۡلُ فَقَالَتۡ هَلۡ أَدُلُّكُمۡ عَلَىٰٓ أَهۡلِ بَيۡتٖ يَكۡفُلُونَهُۥ لَكُمۡ وَهُمۡ لَهُۥ نَٰصِحُونَ ﴾
[القَصَص: 12]
﴿وحرمنا عليه المراضع من قبل فقالت هل أدلكم على أهل بيت يكفلونه﴾ [القَصَص: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tulimzuia Mūsā asinyonye kutoka kwa wanyonyeshaji kabla hatujamrudisha kwa mamake, hapo dadake akasema, «Je, ni waonyeshe watu wa nyumba ambao watamlea na kumnyonyesha vizuri na ambao watakuwa na huruma naye? Wakamkubalia hilo |