Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 24 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿فَسَقَىٰ لَهُمَا ثُمَّ تَوَلَّىٰٓ إِلَى ٱلظِّلِّ فَقَالَ رَبِّ إِنِّي لِمَآ أَنزَلۡتَ إِلَيَّ مِنۡ خَيۡرٖ فَقِيرٞ ﴾
[القَصَص: 24]
﴿فسقى لهما ثم تولى إلى الظل فقال رب إني لما أنـزلت إلي﴾ [القَصَص: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi Mūsā akawachotea maji wanyama wa wale wanawake wawili, kisha akageuka kwenda kwenye kivuli cha mti kujifinika nacho na akasema, «Mola wangu! Hakika mimi ni mhitaji wa wema wako wowote ule utakaoniletea,» kama vile chakula. Na njaa ilikuwa imemshika sana |