Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 49 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿قُلۡ فَأۡتُواْ بِكِتَٰبٖ مِّنۡ عِندِ ٱللَّهِ هُوَ أَهۡدَىٰ مِنۡهُمَآ أَتَّبِعۡهُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ﴾
[القَصَص: 49]
﴿قل فأتوا بكتاب من عند الله هو أهدى منهما أتبعه إن كنتم﴾ [القَصَص: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waambie hawa, ewe Mtume, «Basi Leteni kitabu kinachotoka kwa Mwenyezi Mungu ambacho ni cha sawa zaidi kuliko Taurati na Qur’ani, nipate kukifuata mkiwa nyinyi ni wakweli katika madai yenu.» |