Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 66 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿فَعَمِيَتۡ عَلَيۡهِمُ ٱلۡأَنۢبَآءُ يَوۡمَئِذٖ فَهُمۡ لَا يَتَسَآءَلُونَ ﴾
[القَصَص: 66]
﴿فعميت عليهم الأنباء يومئذ فهم لا يتساءلون﴾ [القَصَص: 66]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo hoja zao zote zitafichika, wasijue ni hoja ipi waitumie. Wao hawatoulizana wao kwa wao kuhusu hoja za kuzitumia, maswali yenye nafuu |