×

Na pia Qaruni na Firauni na Hamana! Na Musa aliwajia kwa Ishara 29:39 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-‘Ankabut ⮕ (29:39) ayat 39 in Swahili

29:39 Surah Al-‘Ankabut ayat 39 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 39 - العَنكبُوت - Page - Juz 20

﴿وَقَٰرُونَ وَفِرۡعَوۡنَ وَهَٰمَٰنَۖ وَلَقَدۡ جَآءَهُم مُّوسَىٰ بِٱلۡبَيِّنَٰتِ فَٱسۡتَكۡبَرُواْ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَمَا كَانُواْ سَٰبِقِينَ ﴾
[العَنكبُوت: 39]

Na pia Qaruni na Firauni na Hamana! Na Musa aliwajia kwa Ishara waziwazi, lakini walijivuna katika nchi, wala hawakuweza kushinda

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقارون وفرعون وهامان ولقد جاءهم موسى بالبينات فاستكبروا في الأرض وما كانوا, باللغة السواحيلية

﴿وقارون وفرعون وهامان ولقد جاءهم موسى بالبينات فاستكبروا في الأرض وما كانوا﴾ [العَنكبُوت: 39]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na tulimuangamiza Qārūn, Fir'awn na Hāmān. Na wote hao Mūsā aliwajia na dalili waziwazi, wakajifanya wakubwa katika ardhi na wakafanya kiburi humo. Na hawakuwa wao ni wenye kutuponyoka, bali sisi tulikuwa tuna uweza juu yao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek