Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 4 - العَنكبُوت - Page - Juz 20
﴿أَمۡ حَسِبَ ٱلَّذِينَ يَعۡمَلُونَ ٱلسَّيِّـَٔاتِ أَن يَسۡبِقُونَاۚ سَآءَ مَا يَحۡكُمُونَ ﴾
[العَنكبُوت: 4]
﴿أم حسب الذين يعملون السيئات أن يسبقونا ساء ما يحكمون﴾ [العَنكبُوت: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, kwani wanadhani wale wanaofanya mambo ya uasi, ya ushirikina na mengineyo, kuwa watatushinda wajikwepeshe na sisi tusiwaweze? Ni uamuzi mbaya mno wanaouamua |