Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 43 - العَنكبُوت - Page - Juz 20
﴿وَتِلۡكَ ٱلۡأَمۡثَٰلُ نَضۡرِبُهَا لِلنَّاسِۖ وَمَا يَعۡقِلُهَآ إِلَّا ٱلۡعَٰلِمُونَ ﴾
[العَنكبُوت: 43]
﴿وتلك الأمثال نضربها للناس وما يعقلها إلا العالمون﴾ [العَنكبُوت: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mifano hii tunawapigia watu , ili wanufaike nayo na wajifunze kwayo. Na hawaielewi isipokuwa wale wanaomjua Mwenyezi Mungu na kuzijua aya Zake na Sheria Zake |