Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 44 - العَنكبُوت - Page - Juz 20
﴿خَلَقَ ٱللَّهُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَ بِٱلۡحَقِّۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗ لِّلۡمُؤۡمِنِينَ ﴾
[العَنكبُوت: 44]
﴿خلق الله السموات والأرض بالحق إن في ذلك لآية للمؤمنين﴾ [العَنكبُوت: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Ameumba mbingu na ardhi kwa uadilifu na usawa. Hakika katika uumbaji Wake huo kuna ushahidi mkubwa, kwa wanaoamini, wa uweza Wake na kupwekeka kwake kwa uungu. Na Amewahusu Waumini kwa kuwataja kwa kuwa wao ndio wanaonufaika na huo ushahidi |