×

Na walio amini na wakatenda mema, kwa yakini tutawafutia makosa yao, na 29:7 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-‘Ankabut ⮕ (29:7) ayat 7 in Swahili

29:7 Surah Al-‘Ankabut ayat 7 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 7 - العَنكبُوت - Page - Juz 20

﴿وَٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَنُكَفِّرَنَّ عَنۡهُمۡ سَيِّـَٔاتِهِمۡ وَلَنَجۡزِيَنَّهُمۡ أَحۡسَنَ ٱلَّذِي كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[العَنكبُوت: 7]

Na walio amini na wakatenda mema, kwa yakini tutawafutia makosa yao, na tutawalipa bora ya waliyo kuwa wakiyatenda

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والذين آمنوا وعملوا الصالحات لنكفرن عنهم سيئاتهم ولنجزينهم أحسن الذي كانوا يعملون, باللغة السواحيلية

﴿والذين آمنوا وعملوا الصالحات لنكفرن عنهم سيئاتهم ولنجزينهم أحسن الذي كانوا يعملون﴾ [العَنكبُوت: 7]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakafanya matendo mema, kwa hakika tutawafutia makosa yao na tutawalipa kwa matendo yao mema, mazuri zaidi ya yale waliokuwa wakiyafanya
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek