×

Na anaye fanya juhudi basi bila ya shaka anafanya juhudi kwa ajili 29:6 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-‘Ankabut ⮕ (29:6) ayat 6 in Swahili

29:6 Surah Al-‘Ankabut ayat 6 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 6 - العَنكبُوت - Page - Juz 20

﴿وَمَن جَٰهَدَ فَإِنَّمَا يُجَٰهِدُ لِنَفۡسِهِۦٓۚ إِنَّ ٱللَّهَ لَغَنِيٌّ عَنِ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[العَنكبُوت: 6]

Na anaye fanya juhudi basi bila ya shaka anafanya juhudi kwa ajili ya nafsi yake. Hakika Mwenyezi Mungu si mhitaji wa walimwengu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن جاهد فإنما يجاهد لنفسه إن الله لغني عن العالمين, باللغة السواحيلية

﴿ومن جاهد فإنما يجاهد لنفسه إن الله لغني عن العالمين﴾ [العَنكبُوت: 6]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na mwenye kupigana jihadi katika njia ya kuinua neno la Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, na akapigana jihadi na nafsi yake kwa kuisukuma ifanye vitendo vya utiifu, basi anapigana jihadi kwa maslahi ya nafsi yake. Kwa kuwa yeye anafanya hilo kwa kutaka thawabu ya kupigana kwake jihadi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkwasi, Hana haja ya matendo mema ya waja Wake, kwani mamlaka ni Yake, uumba na mapitisho
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek