Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 9 - العَنكبُوت - Page - Juz 20
﴿وَٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَنُدۡخِلَنَّهُمۡ فِي ٱلصَّٰلِحِينَ ﴾
[العَنكبُوت: 9]
﴿والذين آمنوا وعملوا الصالحات لندخلنهم في الصالحين﴾ [العَنكبُوت: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wakafanya matendo mema, tutawatia Peponi wakiwa ni katika jumla ya waja wa Mwenyezi Mungu wema |