Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 34 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿ذُرِّيَّةَۢ بَعۡضُهَا مِنۢ بَعۡضٖۗ وَٱللَّهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ ﴾
[آل عِمران: 34]
﴿ذرية بعضها من بعض والله سميع عليم﴾ [آل عِمران: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Manabii hawa na Mitume ni mlolongo wa usafi wenye kuungana katika kumtakasa Mwenyezi Munguna, kumpwekesha na kutenda vitendo vinavyoambatana na wahyi Wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyasikia maneno ya waja Wake, ni Mjuzi wa vitendo vyao na Atawalipa kwavyo |