Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 82 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿فَمَن تَوَلَّىٰ بَعۡدَ ذَٰلِكَ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡفَٰسِقُونَ ﴾
[آل عِمران: 82]
﴿فمن تولى بعد ذلك فأولئك هم الفاسقون﴾ [آل عِمران: 82]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi mwenye kuupa mgongo ulinganizi wa Uislamu baada ya maelezo haya na ahadi hii Aliyoichukuwa Mwenyezi Mungu kutoka kwa Manabii Wake, hao ndio wenye kutoka nje ya dini ya Mwenyezi Mungu na twaa ya Mola wao |