Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 88 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿خَٰلِدِينَ فِيهَا لَا يُخَفَّفُ عَنۡهُمُ ٱلۡعَذَابُ وَلَا هُمۡ يُنظَرُونَ ﴾
[آل عِمران: 88]
﴿خالدين فيها لا يخفف عنهم العذاب ولا هم ينظرون﴾ [آل عِمران: 88]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni wenye kukaa milele Motoni; hawataondolewa adhabu kidogo ili wapumzike wala hawatacheleweshewa kwa udhuru wowote watakaoutoa |