Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 87 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿أُوْلَٰٓئِكَ جَزَآؤُهُمۡ أَنَّ عَلَيۡهِمۡ لَعۡنَةَ ٱللَّهِ وَٱلۡمَلَٰٓئِكَةِ وَٱلنَّاسِ أَجۡمَعِينَ ﴾
[آل عِمران: 87]
﴿أولئك جزاؤهم أن عليهم لعنة الله والملائكة والناس أجمعين﴾ [آل عِمران: 87]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Madhalimu hao, malipo yao ni kuwa wao watashukiwa na laana ya Mwenyezi Mungu na Malaika na watu wote. Wao wamefukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu |