Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 17 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿فَسُبۡحَٰنَ ٱللَّهِ حِينَ تُمۡسُونَ وَحِينَ تُصۡبِحُونَ ﴾
[الرُّوم: 17]
﴿فسبحان الله حين تمسون وحين تصبحون﴾ [الرُّوم: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi, enyi waumini, Mtakaseni Mwenyezi Mungu na mumuepushe na mshirika, mke na mtoto, na msifuni kwa sifa za ukamilifu kwa ndimi zenu, na mlithibitishe hilo kwa viungo vyenu vyote muingiliwapo na wakati wa jioni, na muingiliwapo na wakati wa asubuhi, na wakati wa usiku na wakati wa mchana |