Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 18 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿وَلَهُ ٱلۡحَمۡدُ فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَعَشِيّٗا وَحِينَ تُظۡهِرُونَ ﴾
[الرُّوم: 18]
﴿وله الحمد في السموات والأرض وعشيا وحين تظهرون﴾ [الرُّوم: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ni Zake Yeye, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, shukrani na sifa njema katika mbingu na ardhi, na usiku na mchana |