Quran with Swahili translation - Surah Luqman ayat 18 - لُقمَان - Page - Juz 21
﴿وَلَا تُصَعِّرۡ خَدَّكَ لِلنَّاسِ وَلَا تَمۡشِ فِي ٱلۡأَرۡضِ مَرَحًاۖ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يُحِبُّ كُلَّ مُخۡتَالٖ فَخُورٖ ﴾
[لُقمَان: 18]
﴿ولا تصعر خدك للناس ولا تمش في الأرض مرحا إن الله لا﴾ [لُقمَان: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na usizungushe uso wako ukauepusha na watu unaposema na wao au wanaposema na wewe, kwa kuwadharau na kuwafanyia kiburi, wala usitembee kwenye ardhi baina ya watu kwa kujigamba na kujivuna. Hakika Mwenyezi Mungu Hampendi kila mwenye kiburi, mwenye kujifahiri katika nafsi yake, pambo lake na maneno yake |