Quran with Swahili translation - Surah Luqman ayat 24 - لُقمَان - Page - Juz 21
﴿نُمَتِّعُهُمۡ قَلِيلٗا ثُمَّ نَضۡطَرُّهُمۡ إِلَىٰ عَذَابٍ غَلِيظٖ ﴾
[لُقمَان: 24]
﴿نمتعهم قليلا ثم نضطرهم إلى عذاب غليظ﴾ [لُقمَان: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tutawastarehesha wao kwenye ulimwengu huu wenye kutoweka kwa muda mchache, kisha Siku ya Kiyama tutawawapeleka kwa nguvu na kuwaongoza kwenye adhabu yenye kitisho, nayo ni adhabu ya Jahanamu |