Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 44 - الأحزَاب - Page - Juz 22
﴿تَحِيَّتُهُمۡ يَوۡمَ يَلۡقَوۡنَهُۥ سَلَٰمٞۚ وَأَعَدَّ لَهُمۡ أَجۡرٗا كَرِيمٗا ﴾
[الأحزَاب: 44]
﴿تحيتهم يوم يلقونه سلام وأعد لهم أجرا كريما﴾ [الأحزَاب: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Maamkizi ya hawa Waumini kutoka kwa Mwenyezi Mungu huko Peponi Siku ya wao kukutana na Yeye ni Salām na amani kwao kutokana na adhabu ya Mwenyezi Mungu. Na Amewaandalia wao malipo Mazuri, nayo ni Pepo |