Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 54 - الأحزَاب - Page - Juz 22
﴿إِن تُبۡدُواْ شَيۡـًٔا أَوۡ تُخۡفُوهُ فَإِنَّ ٱللَّهَ كَانَ بِكُلِّ شَيۡءٍ عَلِيمٗا ﴾
[الأحزَاب: 54]
﴿إن تبدوا شيئا أو تخفوه فإن الله كان بكل شيء عليما﴾ [الأحزَاب: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mkidhihirisha chochote kwa ndimi zenu, enyi watu, kati ya vitu vinavyomkera Mtume katika vile alivyowakataza navyo au mkakificha ndani ya nafsi zenu, basi Mwenyezi Mungu, aliyetukuka anavijua vilivyomo ndani ya nyoyo zenu na vile mlivyovidhihirisha, na Atawalipa kwa hayo |