Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 51 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿وَلَوۡ تَرَىٰٓ إِذۡ فَزِعُواْ فَلَا فَوۡتَ وَأُخِذُواْ مِن مَّكَانٖ قَرِيبٖ ﴾
[سَبإ: 51]
﴿ولو ترى إذ فزعوا فلا فوت وأخذوا من مكان قريب﴾ [سَبإ: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na lau ungaliona, ewe Mtume, pindi watakapobabaika wakanushaji pale watakapoishuhudia adhabu ya Mwenyezi Mungu, ungaliona jambo kubwa! Hawatakuwa na uokozi wala makimbilio na watachukuliwa hadi Motoni kutoka mahali karibu pa kutwaliwa |