Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 52 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿وَقَالُوٓاْ ءَامَنَّا بِهِۦ وَأَنَّىٰ لَهُمُ ٱلتَّنَاوُشُ مِن مَّكَانِۭ بَعِيدٖ ﴾
[سَبإ: 52]
﴿وقالوا آمنا به وأنى لهم التناوش من مكان بعيد﴾ [سَبإ: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wakanushaji watasema watakapoiona adhabu huko Akhera, «Tumemuamini Mwenyezi Mungu, Vitabu Vyake na Mitume Wake. Vipi wao waipate Imani na hali ni kwamba kuifikia kwao hiyo Imani ni kutoka mahali mbali?» kushawekwa kizuizi baina yao na hiyo, kwani mahali pake ni ulimwenguni, na huko walikanusha |