Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 35 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿لِيَأۡكُلُواْ مِن ثَمَرِهِۦ وَمَا عَمِلَتۡهُ أَيۡدِيهِمۡۚ أَفَلَا يَشۡكُرُونَ ﴾
[يسٓ: 35]
﴿ليأكلوا من ثمره وما عملته أيديهم أفلا يشكرون﴾ [يسٓ: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yote hayo ili waja wapate kula matunda yake. Na hayo hayakuwa isipokuwa ni rehema ya Mwenyezi Mungu kwao, na si kwa harakati zao za kutafuta na bidii zao, wala si kwa hila zao na nguvu. Basi si wamshukuru Mwenyezi Mungu Aliyewaneemesha neema hizi ambazo hazihesabiki wala hazidhibitiki |