Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 37 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَءَايَةٞ لَّهُمُ ٱلَّيۡلُ نَسۡلَخُ مِنۡهُ ٱلنَّهَارَ فَإِذَا هُم مُّظۡلِمُونَ ﴾
[يسٓ: 37]
﴿وآية لهم الليل نسلخ منه النهار فإذا هم مظلمون﴾ [يسٓ: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na alama kwao yenye kuonyesha upwekeshaji wa Mwenyezi Mungu na ukamilifu wa uweza Wake ni huu usiku ambao kutoka humo unatolewa mchana, wakitahamaki watu wameingiliwa na giza |