Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 39 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَٱلۡقَمَرَ قَدَّرۡنَٰهُ مَنَازِلَ حَتَّىٰ عَادَ كَٱلۡعُرۡجُونِ ٱلۡقَدِيمِ ﴾
[يسٓ: 39]
﴿والقمر قدرناه منازل حتى عاد كالعرجون القديم﴾ [يسٓ: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mwezi ni alama katika viumbe vyake. Tumeukadiria uwe na njia za kupitia kila usiku. Unaanza ukiwa mwezi mwandamo mdogo sana na unaendelea kuwa mkubwa mpaka ukawa mwezi mkamilifu mviringo, kisha unarudi kuwa mdogo kama karara la mtende lililobeteka kwa wembamba, kuinama na umanjano, kwa sababu ya ukale wake na ukavu |