Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 82 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿إِنَّمَآ أَمۡرُهُۥٓ إِذَآ أَرَادَ شَيۡـًٔا أَن يَقُولَ لَهُۥ كُن فَيَكُونُ ﴾
[يسٓ: 82]
﴿إنما أمره إذا أراد شيئا أن يقول له كن فيكون﴾ [يسٓ: 82]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika amri Yake Anapotaka kitu kiwe ni kukiambia, «Kuwa!» Na kikawa. Na kati ya hizo ni kufisha, kuhuisha, kufufua na kukusanya |