×

Basi Ametakasika yule ambaye mkononi mwake umo Ufalme wa kila kitu; na 36:83 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ya-Sin ⮕ (36:83) ayat 83 in Swahili

36:83 Surah Ya-Sin ayat 83 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 83 - يسٓ - Page - Juz 23

﴿فَسُبۡحَٰنَ ٱلَّذِي بِيَدِهِۦ مَلَكُوتُ كُلِّ شَيۡءٖ وَإِلَيۡهِ تُرۡجَعُونَ ﴾
[يسٓ: 83]

Basi Ametakasika yule ambaye mkononi mwake umo Ufalme wa kila kitu; na kwake Yeye mtarejeshwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فسبحان الذي بيده ملكوت كل شيء وإليه ترجعون, باللغة السواحيلية

﴿فسبحان الذي بيده ملكوت كل شيء وإليه ترجعون﴾ [يسٓ: 83]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ameepukana Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kutakasika, na ulemevu na kuwa na mshirika. Yeye Ndiye Mwenye kumiliki kila kitu, Mwenye kuendesha mambo ya viumbe Vyake bila ya kuwa na mshindani au mpinzani. Na zimejitokeza dalili za uwezaWake na ukamilifu wa neema Zake. Na Kwake Yeye mtarejea ili mhesabiwe na mlipwe
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek