Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 105 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿قَدۡ صَدَّقۡتَ ٱلرُّءۡيَآۚ إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ﴾
[الصَّافَات: 105]
﴿قد صدقت الرؤيا إنا كذلك نجزي المحسنين﴾ [الصَّافَات: 105]
Abdullah Muhammad Abu Bakr umeisadikisha ndoto yako. Hakika yetu sisi kama vile tulivyokulipa mema kwa kuamini kwako , ndivyo tunavyowalipa wale waliofanya wema mfano wako, tuwaepushie shida duniani na Akhera |