×

Isipo kuwa anaye nyakua kitu kidogo, na mara humfwatia kimondo kinacho ng'ara 37:10 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah As-saffat ⮕ (37:10) ayat 10 in Swahili

37:10 Surah As-saffat ayat 10 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 10 - الصَّافَات - Page - Juz 23

﴿إِلَّا مَنۡ خَطِفَ ٱلۡخَطۡفَةَ فَأَتۡبَعَهُۥ شِهَابٞ ثَاقِبٞ ﴾
[الصَّافَات: 10]

Isipo kuwa anaye nyakua kitu kidogo, na mara humfwatia kimondo kinacho ng'ara

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إلا من خطف الخطفة فأتبعه شهاب ثاقب, باللغة السواحيلية

﴿إلا من خطف الخطفة فأتبعه شهاب ثاقب﴾ [الصَّافَات: 10]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Isipokuwa yule aliyenyakuwa, miongoni mwa Mashetani, mnyakuo wa haraka, nao ni lile neno analolisikia mbinguni kwa haraka, akamtupia aliyekuwa chini yake, na yule mwingine akamtupia aliyekuwa chini yake. Basi pengine huenda akafikiwa na kimondo chenye kutoa mwangaza kabla hajalitupa, na pengine huwa amelitupa kwa makadirio ya Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, kabla ya kujiwa na kimondo kikamchoma, na yule mwingine akaenda nalo hadi kwa makuhani wakaongeza juu ya neno hilo maneno mia moja ya urongo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek