Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 31 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَحَقَّ عَلَيۡنَا قَوۡلُ رَبِّنَآۖ إِنَّا لَذَآئِقُونَ ﴾
[الصَّافَات: 31]
﴿فحق علينا قول ربنا إنا لذائقون﴾ [الصَّافَات: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Hivyo basi ndio sisi sote ikalazimu tupate onyo la Mola wetu kuwa ni wenye kuonja adhabu, sisi na nyinyi, kwa yale tuliyoyatanguliza ya madhambi na maasia duniani |