Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 30 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَمَا كَانَ لَنَا عَلَيۡكُم مِّن سُلۡطَٰنِۭۖ بَلۡ كُنتُمۡ قَوۡمٗا طَٰغِينَ ﴾
[الصَّافَات: 30]
﴿وما كان لنا عليكم من سلطان بل كنتم قوما طاغين﴾ [الصَّافَات: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na sisi hatukuwa na hoja juu yenu wala nguvu, tukaweza kwa hizo kuwazuilia kuamini. Bali nyinyi wenyewe, enyi washirikina, mlikuwa waasi wenye kupita mipaka ya haki |