Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 48 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَعِندَهُمۡ قَٰصِرَٰتُ ٱلطَّرۡفِ عِينٞ ﴾
[الصَّافَات: 48]
﴿وعندهم قاصرات الطرف عين﴾ [الصَّافَات: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hapo kwao kwenye makao yao watakuwako wanawake waliojihifadhi, hawawatazami isipokuwa waume zao, wazuri wa macho |