Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 57 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَلَوۡلَا نِعۡمَةُ رَبِّي لَكُنتُ مِنَ ٱلۡمُحۡضَرِينَ ﴾
[الصَّافَات: 57]
﴿ولولا نعمة ربي لكنت من المحضرين﴾ [الصَّافَات: 57]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na lau si wema wa Mola wangu kwa kuniongoza mimi kwenye Imani na kunithibitisha juu yake, ningalikuwa ni mwenye kuhudhurishwa kwenye adhabu pamoja na wewe |