Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 56 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿قَالَ تَٱللَّهِ إِن كِدتَّ لَتُرۡدِينِ ﴾
[الصَّافَات: 56]
﴿قال تالله إن كدت لتردين﴾ [الصَّافَات: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Muumini atasema kumwambia rafiki yake mwenye kukanusha kufufuliwa, «Ulikaribia kuniangamiza kwa kunizuia nisiamini lau nilikutii |